Video: Mavuno Worship performing "Ombi"




(lyrics: Hili niombi langu Bwana/ Hili ni ombi la ushindi/Hili niombi langu Bwana/ Niishi nawe milele/Nioshe na maji ya uzima/Niliende ewe Mola wangu/Nikinge toka maovu/Nilinde jemedari/Nifiche kwenye mwamba/nitenge toka wahera/nisafishe thambi zangu/mbele yako niwe huru/Niliende jemedari/ nilinde jemedari/Ombi langu)

Comments

  1. Anonymous9/1/12 13:57

    this is the kind of worship song which takes you direct to prayers.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Stepping into 2023 with Faith: Embracing the Power of Trusting in God

Cross Movement halts promotion of The Ambassador